Binslum awataka mashabiki kuwaunga mkono wachezaji

Tanga: Mashabiki wa Coastal Union wametakiwa kuiunga mkono timu hiyo ili kuendelea kufanya vizuri katika Ligi Kuu Bara msimu huu.

Coastal Union inapointi tano mkononi baada ya kucheza mechi tatu kwenye uwanja wa wake wa nyumbani wa Mkwakwani dhidi ya Lipuli FC, Biashara United pamoja na KMC FC.

Binslum akabidhi basi la kisasa kwa mbeya city

Mkurugenzi Mkuu wa Bin Slum, Nassor Bin Slum akikabidhi funguo ya basi la kisasa kwa Mwenyekiti wa klabu ya Mbeya City, Mussa Mapunda katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana. Kushoto ni Ofisa Mawasiliano wa Mbeya City, Dismas Ten.


Binslum tyres kufungua dimba kombe la mwezi mtukufu wa ramadhan

Tanga: Mashabiki wa Coastal Union wametakiwa kuiunga mkono timu hiyo ili kuendelea kufanya vizuri katika Ligi Kuu Bara msimu huu.
Coastal Union inapointi tano mkononi baada ya kucheza mechi tatu kwenye uwanja wa wake wa nyumbani wa Mkwakwani dhidi ya Lipuli FC, Biashara United.

Kampuni ya Binslum yakabidhi msaada wa matairi 12

Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Mbulu Bw. Hudson Kamoga kulia akimkabidhi cheti cha kutambua mchango wa kampuni ya Bin Slum kwa mchango wake katika maendeleo ya wilaya ya Mbulu baada ya kampuni hiyo kupitia kwa meneja Mauzo


Binslum na coastal union sasa kazi tu

MFANYABIASHARA na mdau mkubwa wa soka hapa nchini, Nassor Bin­slum, kwa muda mrefu amekuwa mwanafamilia wa mchezo wa soka akijitolea kwa kila hali katika mchezo huo, lengo lake likiwa ni kuona soka nchini Tan­zania linapiga hatua.

Binslum tyres wadhamini tena kandanda day

KAMPUNI ya uuzaji matairi nchini ya Bin Slum Tyres Ltd, imeendeleza utamaduni wake wa kulidhamini tamasha la ‘Kandanda Day’, ambalo litafanyika Oktoba 15, mwaka huu katika uwanja wa Jakaya M Kikwete Park, Kidogo Chekundu, Dar es Salaam.


Timu ya mbeya city fc yapata mdhamini rasmi ambao ni binslum tyre company limited

Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Mbeya, Dk. Samwel Lazaro,alisema Halmashauri imepata faraja kubwa kupata mdhamini kutokana na Halmashauri kutokuwa na fedha za kutosha kuweza kuendesha timu.