TIMU YA MBEYA CITY FC YAPATA MDHAMINI RASMI AMBAO NI BINSLUM TYRE COMPANY LIMITED

Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Mbeya, Dk. Samwel na mkurugenzi wa kampuni ya Binslum Tyre wakionesha jezi za mpira zenye nembo ya kampuni ya Binslum Tyre

Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Mbeya, Dk. Samwel Lazaro,alisema Halmashauri imepata faraja kubwa kupata mdhamini kutokana na Halmashauri kutokuwa na fedha za kutosha kuweza kuendesha timu.

Mkurugenzi wa kampuni ya Binslum Tyre , Mohamed Binslum akizungumza na waandishi wa habari mkoa wa Mbeya